KONDEBOY #Amelowa β½π¬ Out Now Run πββοΈRun πββοΈ link on Bio π£πΏπΏπ§βοΈβοΈ MOZAMBIQUE π²πΏ Today Milton Keynes Tomorrow @afroeastuk π Link:piped.video/-HZZ6vs_dfQ
CONGRATS CHAMPION π€΄ PURE πΆπΆπΆ @sarkodie MY PEOPLE RUN πββοΈ IT UP YOUR BOY PON NUMBER (13) πΉπΏ @ Dar es Salaam, Tanzania instagram.com/p/CR9Wg0GIvGN/β¦
Unachotakiwa Kufanya Wewe Niandikie Tuu Ngoma Gani Unaipenda ..?? Kwenye afroeast2020 Na Number Ngapi...??
Jinalako Nani..??? Number Yako Ya Simu π°π°π°#KONDEBOY4EVERYBOD Happy Easter πππππ§¨β¨ππππππΎπΏ Hakikisha Umefollowβ¦ instagram.com/p/B-xSgbhHyrD/β¦
Ilikuwa Ndoto Yangu Ya Siku Nyingi Kufanya Kazi na Dada Yangu Kipenzi @jidejaydee Trust me I'm Big Fan of Her ..!!! Nimeanza Kumsikia Na Kumuona Tangu Nikiwa Mtoto Finally Dream come true Brand New π¬π¬ Wife π Ft @jidejaydee Out Now WORLDWIDE Link on My Bio @afroeast2020
Kama Unajijua Kwamba Umehusika Katika Utengenezaji Wa Hili Tukio Au Kusambaza Katika Mitandao Ya Kijamii Basi Tangulia Kituo Cha Police Mwenyewe Waambie Wakuweke Ndani ...!!!!!
Najua Umemsikia Kila Aliechana Humu Ndani...!!!! Nataka Tuu Uniambie Line Za Nani Zimekukosha Zaidi...???? Sio Nani Ni Mkali Kuliko Nani Hapana...!!! Niambie Nani Umependa Zaidi Alichofanya...!!!!!!! Kingsβ¦ instagram.com/p/B_MTJnynCl7/β¦
Oyaaa!!!! Run πββοΈ πββοΈLink: Ihttps://piped.video/ctZSzhBURiY I did This To Some One I Love Itβs Your Time Now to Sing This For Some one You Love π JUS IMAGINE HOW ITS GOING 2B Hiyo Siku Yetu Muhimu !!!! Thanks Alot Love Of My Life BIG BOSS WIFE @kajalafrida For Making This Happen.
Speaking of Records...!!! Hiajawahi Tokea
Ngoma ina Siku 5 Tangu Itoke Na Imekuwa Number 1 ontrendi Hapa Nyumbani Tanzania πΉπΏ Pamoja Na Nyumbani Kenya π°πͺ Pia Imepiga M.1 Tayali Na Bado Ipo Number 1 Naa Mtaani Ndioβ¦ instagram.com/p/B4MVDQVHvZ1/β¦
#visitbongo Out now Allhamdulilah Run!! Run!!! To Your favorite music store !!!! Big Love to My Brothers & Sisters
Kila mtu Alieshiriki mwangu
@bboybeats_ Nakukubali Sana!!!!!! @djtarico_yababuluku
@wulan_tag @themixkiller_
My Familly
@kondegang
Link; piped.video/playlist?list=PLβ¦
#NaNusu πΏ Out Now Kila Kona ππΎββοΈππΌββοΈπβ οΈπ€― LET WOMEN SHINEβ¨ & APPRECIATED π«‘ YEES ITβS B BOY AGAIN. piped.video/kNSPLfo68-w?si=z25Cβ¦ ENJOY
LONDON SEE YOU π HIT THE LINK GET YOUR TICKETS π« πββοΈ πββοΈ AND GUESS WHO IS HOSTING THE NIGHT @adesope_shopsydoo π₯π @harmonize__uk LETS DO THIS BIG COACH @jaykjs
BINAFSI NAISUBIRI SANA HIYO SIKU YA KESHO KWASABABU MIMI NI KATI YA WATU WANAO AMINI KWAMBA WAKATI WA MUNGU NDIO WAKATI SAHIHI ....!!!!! ILINICHUKUA MUDA & SUBIRA JUU YA SAFARI YA MY BROTHER @officialkilly_tz BAADA TU YA KUNIKABIDHI KUWA NAHODHA 10:00
DON'T TAKE IT PARSON πππ NOTHING BUT INTERTEMENT NA NINAIJUA KWELI π’π’π’ RAHA YA UTANI UFANANE NA UKWELI KIDOGO ....!!!! πββοΈπββοΈπββοΈπββοΈ LET'S GO STREET ANTHEM ππ USHAMBA OUT NOW #KONDEGANG4YOU π instagram.com/p/CHVWzoLnxB-/β¦
MWANCHI HAKIKISHA UMEFANYA HIII #DOBIDOBI ππ CHALLENGE KABLA HUJAJA UWANJANI KESHO MAANA NDIO STAILIST YETU MPYAA YAKUSHANGILIA USHINDI !!ππππ NA KAMA HUNA NAULI HILO BUKU LAKO LITUPE PALE @bukuamilioni LEO KUNA DRAW NYINGI MNO !!!!! WATU WANAONDOKA NA MISHIKO π°π°π°π°
Familia Ngapi Zipo Nyuma Ya richimavoco ..?? Na zinamtegemea Yeye KwaKila Jambo Hasa Hili La Kupata Mkate Wa Kilasiku VP Kuhusu Ndoto Za Familia Hizo Na Zinaishije Katikwa Wakati Huu...???
.
Ndoto Ngapi Za Wasaniβ¦ instagram.com/p/B_1Z-gaHncF/β¦
THIS IS MY TO BAD MAN π·πΊπΉπ»π₯@bienaimesol THE GUY DIDIT π―π«‘VESI YAKO NIIIPI ?? πΏ BACK VOCALS @yanatoma π«ΆπΎ LINK BELOW ππΌββοΈππΎββοΈ ziiki.media/IMadeIt-Harmonizβ¦
KONDE MUSIC WORLDWIDE Present to you;
@officialkilly_tz Official Debut song #ROHO
Produced by @terriyomonster
OUT NOW!
Available in All Digital Platforms.
piped.video/ZA-xQAvmsTw
I LOVE YOU π°πͺ YOU CHANGED MY LIFE π FROM TANZANIAN SINGER
TO EAST AFRICAN YOUNG STER
I LOVE YOU FROM MY HEART β€
TULIIBADIRI TAREHE 31/12/2018
KUWA TAREHE 12/12/2018 NA TUKAIMBA HAPPY BIRHDAY KENYA...!!!! β€ GOD BLESS 254π°πͺ THANKS ALO NAAMINI 2019 ITAKUWA ZAIDII!! EAST 2 π
BAAADA YA KUMALIZA SHUGULI...!!!!!!Najua Unasubiria Kwa Hamu Kuona Tukio Zima....!!! Kuanzia Red carpet x Backstage x On the stage Na After Event So Kusho Saa 1:00 Usiku Itakuwa Live Kwenye You Tube Hakikisha Ukeβ¦ instagram.com/p/B942SCLHt8V/β¦
Ilikuwa Ndoto Yangu ya Siku Nyingi Kufanya Ngoma Na Big Bro Hapa..!!! #BAISA mrbluebyser1988 My dream just came true #Inanimaliza Out Now Enjoy β€π€ afroeast2020 @ Dar es Salaam, Tanzania instagram.com/p/B96K1j8nj6y/β¦